Transfoma
Transfoma ni kifaa cha umeme kinachotumika katika sakiti ili kubadilisha volti au mkondo wa umeme. Transfoma ina uwezo wa kupaisha am kupunguza volti katika sakiti ya umeme. Transfoma inaundwa na sehemu kuu mbili, nazo ni mwanzo na sekondari. Shemu hizi mbili zinasukwa koili za nyaya zenye maganda ambapo idadi ya misuko/koili hutegemea lengo, yaani kama ni kupaisha au kupunguza volti.
Usomaji zaidi[edit | edit source]
Faharasa[edit | edit source]
Cambridge Advanced Learner's Dictionary, 3rd Ed, Cambridge University Press, Cambridge. 2008